Webabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2010 Posts 8,870 Reaction score 14,258 Aug 19, 2023 #1 Mwanamke mmoja mjini Stockholm nchini Sweden amevuruga shughuli batili ya kuichoma Quran iliyokuwa ikifanyika mjini humo. Kitendo hicho kilikuwa kikifanywa na Salwan Momika mkimbizi kutoka Iraq ambaye amekuwa akipewa vibali vya kuchoma Qur'an kama anavyopenda. Momika anasema anataka azuie watu wa Sweden kufikiwa na ujumbe wa Qur'an A woman interrupts a Quran-burning protest in Sweden by spraying activist with a fire extinguisher
Mwanamke mmoja mjini Stockholm nchini Sweden amevuruga shughuli batili ya kuichoma Quran iliyokuwa ikifanyika mjini humo. Kitendo hicho kilikuwa kikifanywa na Salwan Momika mkimbizi kutoka Iraq ambaye amekuwa akipewa vibali vya kuchoma Qur'an kama anavyopenda. Momika anasema anataka azuie watu wa Sweden kufikiwa na ujumbe wa Qur'an A woman interrupts a Quran-burning protest in Sweden by spraying activist with a fire extinguisher