Mdada wa kazi noma

Mdada wa kazi noma

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
BABA: Mbona tooth pick zinaisha haraka dada?

DADA: Watoto wako hao, wakisha tumia wanatupa, mi nasafisha narudisha
Hivi hapo utachukua hatua gani kwa mfano.

Chezea dada weee.
 
Back
Top Bottom