fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Simjui na wala hanijui, tulikutana kwenye baa moja hivi akanipa namba ya simu nikampa. sasa kila siku ananipigia au kutuma sms kuwa anataka kimapenzi. Namzidi miaka 20 hivi, shinikizo ni kubwa. Je nifanyaje?