Mdada wa miaka 25 ananitaka kimapenzi

Haya ndio madhara ya kutahiriwa na ganzi, hovyo kabisa. Suala dogo kama hili hadi utuletee na sisi? Kwanza umeshasema mmekutana Bar.
 
Hizo sms anawaandikia wengi tu kwa siku,anayenasa anaruka nae...usije ona anakutaka Sana,ni life style yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…