Mdada wa Stationery anahitajika haraka

Mdada wa Stationery anahitajika haraka

Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
1,667
Reaction score
2,595
Ofisi ipo Mbezi Goba.

AWE MA SIFA ZIFUATAZO

1. Awe anaweza kutype kwa spidi.
2. Awe ana uwezo wa kutumia Inteernet
3. Awe ana uwezo wa kudesign.
4. Awe anaweza kuprint.
5. Awe anaweza kutumia mashine ya photocopy.
6. Awe anaweza kuscan.
7. Awe anaweza kutumia software ya Adobe.
8. Awe anaweza kupiga picha za passport na kuzitengeneza.

Mawasiliano 0694139204
 
Mcheki huyu dada Munirah seiph
 
Sawa chief, huyu alikuwa kaweka tangazo la kutaka kazi akiwa na vigezo ulivyo orodhesha na aina ya kazi. Mimi binafsi simfahamu wala sina mawasiliano yake ndiyo maana nikamwita mwenyewe aje asome tangazo. Ila siyo kesi kama umekwazika am very sorry.
Sio kesi walq ugomvi.
Relax
 
Ofisi ipo Mbezi Goba.

AWE MA SIFA ZIFUATAZO

1. Awe anaweza kutype kwa spidi.
2. Awe ana uwezo wa kutumia Inteernet
3. Awe ana uwezo wa kudesign.
4. Awe anaweza kuprint.
5. Awe anaweza kutumia mashine ya photocopy.
6. Awe anaweza kuscan.
7. Awe anaweza kutumia software ya Adobe.
8. Awe anaweza kupiga picha za passport na kuzitengeneza.

Mawasiliano 0694139204

Nakupgia
 
Back
Top Bottom