Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Mcheki huyu dada Munirah seiphOfisi ipo Mbezi Goba.
AWE MA SIFA ZIFUATAZO
1. Awe anaweza kutype kwa spidi.
2. Awe ana uwezo wa kutumia Inteernet
3. Awe ana uwezo wa kudesign.
4. Awe anaweza kuprint.
5. Awe anaweza kutumia mashine ya photocopy.
6. Awe anaweza kuscan.
7. Awe anaweza kutumia software ya Adobe.
8. Awe anaweza kupiga picha za passport na kuzitengeneza.
Mawasiliano 0694139204
Namba nimeiweka hapo juu.Mcheki huyu dada Munirah seiph
Sawa chief, huyu alikuwa kaweka tangazo la kutaka kazi akiwa na vigezo ulivyo orodhesha na aina ya kazi. Mimi binafsi simfahamu wala sina mawasiliano yake ndiyo maana nikamwita mwenyewe aje asome tangazo. Ila siyo kesi kama umekwazika am very sorry.Namba nimeiweka hapo juu.
Hujaiona?
Sio kesi walq ugomvi.Sawa chief, huyu alikuwa kaweka tangazo la kutaka kazi akiwa na vigezo ulivyo orodhesha na aina ya kazi. Mimi binafsi simfahamu wala sina mawasiliano yake ndiyo maana nikamwita mwenyewe aje asome tangazo. Ila siyo kesi kama umekwazika am very sorry.
Ofisi ipo Mbezi Goba.
AWE MA SIFA ZIFUATAZO
1. Awe anaweza kutype kwa spidi.
2. Awe ana uwezo wa kutumia Inteernet
3. Awe ana uwezo wa kudesign.
4. Awe anaweza kuprint.
5. Awe anaweza kutumia mashine ya photocopy.
6. Awe anaweza kuscan.
7. Awe anaweza kutumia software ya Adobe.
8. Awe anaweza kupiga picha za passport na kuzitengeneza.
Mawasiliano 0694139204
Mcheki huyu dada Munirah seiph