Mdada wa ukweli anahitajika...!

Mdada wa ukweli anahitajika...!

kongobelo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
372
Reaction score
489
Habari wana JF. nahitaji msichana mmoja mwenye kujitambua kwa ajili ya serious relationship na wala sio kupotezeana muda. umri usizidi 25yrs. nina 27yrs. please aliye tayari ani PM, tutaanza kwa urafiki ili tufahamiane vizuri....
najua waosha vinywa nao watachangia tu....
ahsanteni
 
Tunakutakia heri ndugu yetu,ukifanikiwa usisahau kuleta feedback.
 
Back
Top Bottom