Habari wana JF. nahitaji msichana mmoja mwenye kujitambua kwa ajili ya serious relationship na wala sio kupotezeana muda. umri usizidi 25yrs. nina 27yrs. please aliye tayari ani PM, tutaanza kwa urafiki ili tufahamiane vizuri....
najua waosha vinywa nao watachangia tu....
ahsanteni