Mdada wewe wa One Night Stand.

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Unanifanya nichizi kwa kukuwaza.
Najuta kwa nini nilikutana nawe siku ile.
Bado najilaumu kwa kosa kubwa nilolifanya la kutoendelea kukushawishi unipatie namba yako, Ona nimekua kama chizi vile kwa kupitia pande zile za kinywaji tulipoonana usiku ule, Ndio kila week end lazima niende pande zile labda nitaonana nawe.
Ndio ulinitajia jina lako moja tu. Ona ninavyokutafuta fesibuku, twita,gugo, linkid inn na kwingineko labda nitakuona lakini wapi.
Huduma ile ulonipatia usiku ule ndio sababu ya mambo yote haya Kwakweli tangu nizaliwe sijawahi pata service kama ile, Na sidhani kama nitaipata kwa mtu mwingine zaidi yako wewe. Hainikauki kichwani, mara kwa mara hujirudia.
Ndio ulinambia unamchumba ako na usingependa nikusumbue nikakuharibia mahusiano na huyo mchumba ako, Ukanikatalia kunipa namba yako ya simu, nikakusisitiza ukakubali kuchukua yangu then ukasema utanipigia, Siku Miezi inapita sasa bila kunipigia, Kila nikiona namba mpya inapiga kny simu yangu moyo hunilipuka nikijua ni wewe lakini la.
Naomba please kama upo humu ndani unipigie tuongee.
 
unanukia kuku wa kienyeji wewe ndo mana hajakutafuta,,,,dont get emotional or connected, wadau wengine are just looking for fun..wewe unataka kuleta mapenziiii kunoga..
 
Huyo ni mchumba....
Katoa mkao wa usiku mmoja aka ONS!!!!
wachumba wa JK era!!!
 
unanukia kuku wa kienyeji wewe ndo mana hajakutafuta,,,,dont get emotional or connected, wadau wengine are just looking for fun..wewe unataka kuleta mapenziiii kunoga..
Usinijaji hivyo mdau, Yap it was so fani that's why I'm asking for revenge.
 
Nice nice to know ya let's do it again,like did it in a one night stand gal a wanna be more than a friend to ya..........
 
Humu umebugi. Hawara wa one night stand hawajajiunga humu jf. Kama umeshamkosa huko facebook basi huku jf wanajiunga great thinkers tu.
 
ulikutana na jini mahaba limekulangua roho yako. utanyauka kama mti. uzinzi ni dhambi
 
kugegeda kwenyewe unagegeda kama mmasai unategemea mtoto atarudi tena kweli?!
 
Mengine huwa mnakutana nayo ni majini,Jitahidi sana kumtafuta unaweza kukutana nae kuzimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…