kibovu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 702
- 759
Igweeeee
Kwanza nipongeze kwa huduma bora.
Nakuomba mnamo tarehe tatu mwezi january nilikuja ulinifanyia vipimo vya xray kwa weredi mkubwa nimdada mweupe mnene kiasi ulikuwa umevaa kigauni min
Natamani nikupe zawadi kwa huduma zako bora nimeamua kutokutaja hospital yako but ni hospital private na ina chuo sijui ntakupataje.