Mdahalo kati ya kijana wa Chadema vs CCM kuhusu " No reforms, no elections. " Kijana wa CCM azidiwa kwa hoja.

Mdahalo kati ya kijana wa Chadema vs CCM kuhusu " No reforms, no elections. " Kijana wa CCM azidiwa kwa hoja.

Ktk hili CCM wapo upande wa dhuruma, wizi na ulaghai. Hakuna mwanaccm anayweza kuja na hoja ya kueleweka ktk hili zaidi ya kusema hakuna muda wa kufanya mabadiliko😊😊
Keyboard warriors mko njema sana humu

Kwa ground ni tofauti
 
Umesikiliza mdahalo wa vijana wetu? Au umekimbilia kuandika quote tu?
Runa vijana zaidi y 20m

Niwasikilize watu wawili ambao Sina hata knowledge ya wameokotwaje

Kuna tofauti kati ya ligi ya washabiki wa simba na wana yanga hapo?
 
Keyboard warriors mko njema sana humu

Kwa ground ni tofauti
Vijana wanataka kufanya mdahalo na kugeuza sheria na taratibu kwa kutumia teknolojia katika karne hii ila nyie mnataka watu wabebe manati na jambia kama enzi za Kingekitile Ng'wale na Wasira...au
 
Ktk hili CCM wapo upande wa dhuruma, wizi na ulaghai. Hakuna mwanaccm anayweza kuja na hoja ya kueleweka ktk hili zaidi ya kusema hakuna muda wa kufanya mabadiliko😊😊
Mimi nipo tayari kufanya mdahalo na Lissu kwenye No Reforms, No Election.
 
Runa vijana zaidi y 20m

Niwasikilize watu wawili ambao Sina hata knowledge ya wameokotwaje

Kuna tofauti kati ya ligi ya washabiki wa simba na wana yanga hapo?
Kwahiyo sample space zako unachagua unawapenda na kuwataka na siyo unaokutana nao? Kama kijana mwenyekiti wa uvccm tawi la wasomi wa Mabibo ndiyo yuko hivi. Pata picha yule Kijana wa Etaro kule Musoma mvuvi atakuaje.
 
Vijana wanataka kufanya mdahalo na kugeuza sheria na taratibu kwa kutumia teknolojia katika karne hii ila nyie mnataka watu wabebe manati na jambia kama enzi za Kingekitile Ng'wale na Wasira...au
Wapi nimesema NINATAKA?

Nimesema Kwa ground ni tofauti, if you were smart ungeelewa

Sadly, you are not
 
Vijana Tuwe Catalyst kwa kuleta mageuzi kwa kuzungumza Ukweli na kuacha kubeba Mabegi ya Watu
This is perfect

Na maendeleo hayana vyama

Siku vijana mkiacha vyama na Kunda kukimbizana na pesa while ignoring politicians, watawafuata na mtakua empowered

Vita ya vijana isiwe kwenye chama Bali uchumi
 
Back
Top Bottom