Ktk hili CCM wapo upande wa dhuruma, wizi na ulaghai. Hakuna mwanaccm anayweza kuja na hoja ya kueleweka ktk hili zaidi ya kusema hakuna muda wa kufanya mabadiliko😊😊..kwa kweli CCM hawawezi kabisa kukabiliana na wapinzani kwa hoja.
..kama uv-ccm ndio hawa basi taifa letu linaelekea siko.
View: https://www.youtube.com/watch?v=PFxl6jTnFzE
Nimecheka sana Eti Wapiga Ngenga🤣🤣Kutetea ujinga ni kazi sana....kweli ccm inalemaza vijana wengi.
Hapa inanikumbusha enzi za Siasa ni Amani na Hoja...kwa kweli CCM hawawezi kabisa kukabiliana na wapinzani kwa hoja.
..kama uv-ccm ndio hawa basi taifa letu linaelekea siko.
View: https://www.youtube.com/watch?v=PFxl6jTnFzE
Vijana Tuwe Catalyst kwa kuleta mageuzi kwa kuzungumza Ukweli na kuacha kubeba Mabegi ya Watu..kwa kweli CCM hawawezi kabisa kukabiliana na wapinzani kwa hoja.
..kama uv-ccm ndio hawa basi taifa letu linaelekea siko.
View: https://www.youtube.com/watch?v=PFxl6jTnFzE
Keyboard warriors mko njema sana humuKtk hili CCM wapo upande wa dhuruma, wizi na ulaghai. Hakuna mwanaccm anayweza kuja na hoja ya kueleweka ktk hili zaidi ya kusema hakuna muda wa kufanya mabadiliko😊😊
Umesikiliza mdahalo wa vijana wetu? Au umekimbilia kuandika quote tu?Keyboard warriors mko njema sana humu
Kwa ground ni tofauti
Runa vijana zaidi y 20mUmesikiliza mdahalo wa vijana wetu? Au umekimbilia kuandika quote tu?
Vijana wanataka kufanya mdahalo na kugeuza sheria na taratibu kwa kutumia teknolojia katika karne hii ila nyie mnataka watu wabebe manati na jambia kama enzi za Kingekitile Ng'wale na Wasira...auKeyboard warriors mko njema sana humu
Kwa ground ni tofauti
Mimi nipo tayari kufanya mdahalo na Lissu kwenye No Reforms, No Election.Ktk hili CCM wapo upande wa dhuruma, wizi na ulaghai. Hakuna mwanaccm anayweza kuja na hoja ya kueleweka ktk hili zaidi ya kusema hakuna muda wa kufanya mabadiliko😊😊
Kwahiyo sample space zako unachagua unawapenda na kuwataka na siyo unaokutana nao? Kama kijana mwenyekiti wa uvccm tawi la wasomi wa Mabibo ndiyo yuko hivi. Pata picha yule Kijana wa Etaro kule Musoma mvuvi atakuaje.Runa vijana zaidi y 20m
Niwasikilize watu wawili ambao Sina hata knowledge ya wameokotwaje
Kuna tofauti kati ya ligi ya washabiki wa simba na wana yanga hapo?
Wapi nimesema NINATAKA?Vijana wanataka kufanya mdahalo na kugeuza sheria na taratibu kwa kutumia teknolojia katika karne hii ila nyie mnataka watu wabebe manati na jambia kama enzi za Kingekitile Ng'wale na Wasira...au
Well saidVijana Tuwe Catalyst kwa kuleta mageuzi kwa kuzungumza Ukweli na kuacha kubeba Mabegi ya Watu
This is perfectVijana Tuwe Catalyst kwa kuleta mageuzi kwa kuzungumza Ukweli na kuacha kubeba Mabegi ya Watu