hata o-level shuleni kwetu hatukuwahi kujadili mada ya kipu.uzi namna hii
siku mtakayo jadili kuhusu hatma ya Tanzania, ukiliritimba wa HESLB, degree za kupeana kwa kufanya mapenzi na kuonga, kukomboa hii nchi, jinsi ya kujiajiri, namna ya kuwasidia wahitimu kupata mtaji wa kujiajiri, jinsi ya kuwashughulikia mafisadi, na kuwaadaabisha mawaziri ambao wengi wao ni wezi, niiteni nitakuja mapema hata kabla VC wenu hajafungua office na nitaacha kazi zanguhabari wana JF?
Kutakuwa na mdahalo Wa wanafunzi wa vyuo vikuu utakaofanyika katika Chuo Cha Uhasibu(T I A).
Mdahalo huo utakuwa na mada isemayo;Kwa hali halisi ya TANZANIA Je kuna haja ya wanafunzi wa Vyuo vikuu kutumia Uniform?
SIKU:JUMAPILI;TAREHE 22/04/2012.
MUDA:SAA 8:00 MCHANA
MAHALI UTAKAPOFANYIKA:MAIN HALL
NJOONI TUCHANGIE HOJA.
KARIBUNI WOTE!
habari wana JF?