Mdahalo: Mwanamke "kujua sana" ni "negative" kwake?

Mdahalo: Mwanamke "kujua sana" ni "negative" kwake?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Hivi kwanini sisi wanaume wengi hatupendi kukutana na mwanamke ambaye toka mwanzo anaonekana "kujua sana"? Yaani, akijionesha "kujua sana" basi tunaanza kukosa ile confidence kwa sababu tunajiuliza maswali mengi:

a. Amejifunza wapi?
b. Amejifunza kwa wangapi?
c. Itakuwaje kama sifikii kiwango chake?
d. Itakuwaje kama ataniona mshamba?
n.k nk

Matokeo yake ni kuwa mwanamke inabidi ajifanye hajui! Sasa hilo nalo ni zuri kwenye mahusiano?
 
Kujua nini mkuu mbona watuacha hewani? Funguka tukuelewe
 
Sifa kuu ya mwanamke ni utulivu!
Kama anaongea sana tegemea kukutana na multiplication zaidi ya matatizo, ya ndani ya relationship, na nje kwa marafiki na majirani!
 
Sifa kuu ya mwanamke ni utulivu!
Kama anaongea sana tegemea kukutana na multiplication zaidi ya matatizo, ya ndani ya relationship, na nje kwa marafiki na majirani!

hivi umemuelewa Mwanakijiji vizuri.....
shemeji....sio ujuaji wa maneno......hebu vaa ile miwani yako ya siku ile bana.....
 
Mwanamke wa kuoa au mke hatakiwi kujua sana!
lakini kimada anatakiwa awe anajua sana!
 
Duh, mwanamke ana tabu jamani.

Asipojua sana mshamba, akijua sana kajulia wapi. Labda alichezwa akachezeka.
Principle ya kwanza ya mahusiani 'Be yourself'. Kama akimwacha sababu anajua sana basi hakuwa wake, wake akija atampokea na kujua kwake huko huko.
 
Mwanamke wa kuoa au mke hatakiwi kujua sana!
lakini kimada anatakiwa awe anajua sana!

Yeah uzuri wa kimada ni kikata kiu lazima kijue kila kitu mwanaume anacho taka
 
Sifa kuu ya mwanamke ni utulivu!
Kama anaongea sana tegemea kukutana na multiplication zaidi ya matatizo, ya ndani ya relationship, na nje kwa marafiki na majirani!

PJ hujamuelewa MM. Hazungumzii ujuaji, yeye yupo kwenye majamboz ya chumbani.
 
kweli kabisa smile,wanawake wanajua wanaume hawajiamini pale mwanamke "anapojua" sana, matokeo yake wanajifanya hawajui.......
baada ya siku mbili tatu(mbaya zaidi wakishafunga ndoa) mwanaume ndo anajua mkewe ni MJUZI zaisi yake..........
hapo ndo kasheshe linaanza.....
au hata kusipokua na kasheshe mwanaume anajikuta kaoa mtu asiyemtarajia....(kwenye 'ujuzi')
lohhhh!!!!!!!

Mtu unataka pilau,lakini hutaki mpishi?
Lakini unataka pilau
Loh
Wanaume bwana? Ndo maana huwa tunaishia kuwaambia ujue diawewe ni mwanaume wangu wa pili tu, kumbe chain inaanzia dar-mwanza
uzuri haina meter useme itasoma unit
 
kujua sana kwa hali ya kawaida kuwa na uelewa na si kwa maana ya kuleta maneno mpaka kwa majirani kama pakajimmy alivyosema, mi binafsi napenda na mana unajua vitu vingi kila atua mwanaume anapiga kukudanganya! mana wanaume wengine wamezoea kudanganya sijui wanamfanyaga mwanamke mjinga! basi unalichora tu! hasara yake unakosa mapenzi fulani yale ya kudanganyana na kuenjoy japo for short time!! lol. .

Nyingine ndo iyo cjui ya m/ kijiji uelewa kwenye majambozi! sasa mwanaume kiumbe huyu anataka nini kwa mwanamke jamani kitch pt za nn! mi nazani wengi wanapenda mjuaji m/ jiji labda wamasai tu! labda kama ndo mnaanza mahusiano kwann ufanye unajua sana pia? mdogomdogo tu mtu anadata na kufurahia huo ujuaji!!
 
ndo maana napenda mwanaume anayejitambua na kujiamini.....
hilo la "kujua sana" kwake si tatizo....

maana anajua nini anachokitaka maishani....loh!!

usisahau utamu wa msosi,mpishi awe na ujuzi nacho,huwezi kupika prawns kama huwajulii...au huwezi pika pilau kama huna ujuzi, unaweza tia ngogwe bureeee
 
kwangu mimi mjuajindo mzuri ila mkimya ni mbaya zaidi, mjuaji akifunguka amefunguka lakini mkimya ni MUBAYAAAAA, sumu!
 
kweli kabisa smile,wanawake wanajua wanaume hawajiamini pale mwanamke "anapojua" sana, matokeo yake wanajifanya hawajui.......
baada ya siku mbili tatu(mbaya zaidi wakishafunga ndoa) mwanaume ndo anajua mkewe ni MJUZI zaisi yake..........
hapo ndo kasheshe linaanza.....
au hata kusipokua na kasheshe mwanaume anajikuta kaoa mtu asiyemtarajia....(kwenye 'ujuzi')
lohhhh!!!!!!!
Na dhani iyo ya wanaume kutopenda wanawake waonyeshe skillszao ndo tatizo lingine linalochangia wanawake wengi kutoka kwenye ndoa zao
Maana utakutamwanamke alishazoea magame ya ukweli mchangani huko.
Sasa ndani kwa sababu ya kuogopa anapretend kushiba kumbe safari baaado
Hapo ndo mwanzo wa kutoka nje kutafuta msosi wa ukwelialiokuwa amezoea
 
Binafsi nataka anayejua..maana hata mimi najua sasa mkikutana wote mafundi ndio nzuri mechi dakika 120,na penalty juu...sio mmoja fundi mwingine Academy....inaboa...ndio unaanza kumwambia..geuka basi..wakati inatakiwa mnageuka kwa style tu..huku mambo yanaendelea
 
Mke wa ndoa akiwa mjuaji sana anaitwa shakunaku
 
Back
Top Bottom