Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kujua nini mkuu mbona watuacha hewani? Funguka tukuelewe
Sifa kuu ya mwanamke ni utulivu!
Kama anaongea sana tegemea kukutana na multiplication zaidi ya matatizo, ya ndani ya relationship, na nje kwa marafiki na majirani!
Mwanamke wa kuoa au mke hatakiwi kujua sana!
lakini kimada anatakiwa awe anajua sana!
Mwanamke wa kuoa au mke hatakiwi kujua sana!
lakini kimada anatakiwa awe anajua sana!
Kwamke unataka nini? Na kwa kimada unataka niniYeah uzuri wa kimada ni kikata kiu lazima kijue kila kitu mwanaume anacho taka
Sifa kuu ya mwanamke ni utulivu!
Kama anaongea sana tegemea kukutana na multiplication zaidi ya matatizo, ya ndani ya relationship, na nje kwa marafiki na majirani!
Mtu unataka pilau,lakini hutaki mpishi?
Lakini unataka pilau
Loh
Wanaume bwana? Ndo maana huwa tunaishia kuwaambia ujue diawewe ni mwanaume wangu wa pili tu, kumbe chain inaanzia dar-mwanza
uzuri haina meter useme itasoma unit
Na dhani iyo ya wanaume kutopenda wanawake waonyeshe skillszao ndo tatizo lingine linalochangia wanawake wengi kutoka kwenye ndoa zaokweli kabisa smile,wanawake wanajua wanaume hawajiamini pale mwanamke "anapojua" sana, matokeo yake wanajifanya hawajui.......
baada ya siku mbili tatu(mbaya zaidi wakishafunga ndoa) mwanaume ndo anajua mkewe ni MJUZI zaisi yake..........
hapo ndo kasheshe linaanza.....
au hata kusipokua na kasheshe mwanaume anajikuta kaoa mtu asiyemtarajia....(kwenye 'ujuzi')
lohhhh!!!!!!!