Na dhani iyo ya wanaume kutopenda wanawake waonyeshe skillszao ndo tatizo lingine linalochangia wanawake wengi kutoka kwenye ndoa zao
Maana utakutamwanamke alishazoea magame ya ukweli mchangani huko.
Sasa ndani kwa sababu ya kuogopa anapretend kushiba kumbe safari baaado
Hapo ndo mwanzo wa kutoka nje kutafuta msosi wa ukwelialiokuwa amezoea
Mwanamke wa kuoa au mke hatakiwi kujua sana!
lakini kimada anatakiwa awe anajua sana!
Na dhani iyo ya wanaume kutopenda wanawake waonyeshe skillszao ndo tatizo lingine linalochangia wanawake wengi kutoka kwenye ndoa zao
Maana utakutamwanamke alishazoea magame ya ukweli mchangani huko.
Sasa ndani kwa sababu ya kuogopa anapretend kushiba kumbe safari baaado
Hapo ndo mwanzo wa kutoka nje kutafuta msosi wa ukwelialiokuwa amezoea
Mtu unataka pilau,lakini hutaki mpishi?
Lakini unataka pilau
Loh
Wanaume bwana? Ndo maana huwa tunaishia kuwaambia ujue diawewe ni mwanaume wangu wa pili tu, kumbe chain inaanzia dar-mwanza
uzuri haina meter useme itasoma unit
Binafsi nataka anayejua..maana hata mimi najua sasa mkikutana wote mafundi ndio nzuri mechi dakika 120,na penalty juu...sio mmoja fundi mwingine Academy....inaboa...ndio unaanza kumwambia..geuka basi..wakati inatakiwa mnageuka kwa style tu..huku mambo yanaendelea
bebii....what now......?

kweli kabisa, raha upate mjuzi mkunane ipasavyo, inafika kipindi mambo yanaenda 'automatik'
Kujua nini mkuu mbona watuacha hewani? Funguka tukuelewe
Kujua sana haina ubaya, tatizo ni namna unaonesha kua unajua na unamfanya mwenzio kua mjinga. Hiyo ni both ways, kwa wanaume na wanawake.
Knowledge is like butter: the less you have, the more you spread.
What I mean is wanaume hawapendi wanawake wanao 'jua sana' because they display their knowledge in an unpleasant way (making their interlocutor look ignorant). But mwanake akiwa na ujuzi mkubwa bila kua na hiyo tabia it is not unpleasant to men. If I missed something naomba unieleweshe tafadhali.Hivi umemuelewa kweli Mwanakijiji?
HIvi kumbe wanaume hawajiamini kabisa jamani...........duuuhhh 😛eep: