AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
Wana JF,
Baada ya maombi ya Yericko Nyerere na Nnauye Jr kuwa wawe na mdahalo wa wazi, JF imeniomba niusimamie mdahalo huo baina ya wawili hawa.
Yatagusiwa masuala kadhaa lakini hatutakwenda kwenye personalities. Yatahusu siasa zetu na vyama vyetu vya siasa nami nitajitahidi kufuatilia maswali ya nyongeza toka kwa wadau katika thread ya ziada ambayo ipo Jukwaa la Siasa ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/372788-ninaomba-mdahalo-wa-kisiasa-na-nape-nnauye.html ) kama side comments.
Kabla hatujaendelea, ningependa wahusika wathibitishe uwepo wao (Yericko na Nape) ili tuanze rasmi.
Karibuni sana.