Mkuu Nape Nnauye, nakushukuru kwa uwepo wako hata kwa kuchelewa. Kubwa zaidi ni kuwa mdahalo ufanyike na nimesha arifiwa na utawala kuwa mdahalo utakuwa kesho as a result ya Yericko kuwa mbali na access. Hadi hapo kesho tena (nimeambiwa umearifiwa pia).