Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

mdahalo unaanza nakushauri acid uende bar uombe wakuwekee ITV.dr wa ukweli ndio anaingia mtangazaji anatoa historia yake mpaka raha
 
Nimekaa mbele ya Tv hapa napmba Mungu umeme usizimwe
 
Slaa ndio ameingia sasa hivi hapa ukumbini watu wamenyanyuka na kuimba slaa anaweza , watanzania wenzangu mpeni yeye anaweza sanaa

Naona mgombea wa chadema kinondoni ndugu philip mogendi nae yuko ndani na mdau wa siku nyingi wa masuala ya teknohama nchini ali mafuruki yuko nae ametinga saa hii .

Watu wanasambaza bendera za chadema pamoja na zingine za chadema ila cha taifa ndio nyingi zaidi – kweli taifa mbele
 
Bendera za Chadema zinapepea!!
 
watu tuko sambamba na TV zetu tayari kwa kuuliza maswali,lakini jamaa ni kichwa nadhani mdahalo utaenda vizuri..
 
kwa nn umeanzisha thread nyingine?zipo kule zisaanzishwa tayari
hata hivo thanks kwa updates endelea kumwaga yanayojiri
 
Jamaa anataka kuuliza mambo ya sajili jumba!!
 
I hope watanzania wengi wanaangalia hiki kipindi, ngoja niendelee kuwakumbusha wananchi wengine
 
jamani nimeulizwa na jamaa yangu link ya bongo radio please
 
naona jamaa kamuuliza anawataarishaje watanzania kupokea matokeo iwapo atashindwa pasipo kuvunja sheria ya nchi
 
Nipo hapa kando ya TV kwa kweli naomba umeme usikatike.
 
Masuala yatakayo jadiliwa leo ni kama yafuatayo

- Makazi
- rasilimali
- mfumo wa kodi
- maslahi ya wafanyakazi
- suala la uwajibikaji
- jumuiya ya afrika mashariki
 
pole Acid....njoo kwangu mambo live...rais ndo keshakaribishwa jukwaani
 
Naona nyimbo ya Mrisho mpoto inatumbuiza. Dr anaanza sasa. Anaulizwa anazungumzia mabadiliko kivipi?
 
dk slaa anongea yani hadi mwili ume vibrate daah huyu ndo rais wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…