Mdahalo wa Katiba Mpya (The Way Forward)

Mdahalo wa Katiba Mpya (The Way Forward)

Joined
Oct 23, 2013
Posts
23
Reaction score
1
View attachment 118040

Jumapili hii live kupitia ITV, kuanzia saa 9 - 12 jioni EABMTI itakuletea Mdahalo wa Katiba Mpya 'tunakoelekea'. wazunmgumzaji kwenye mdahalo huu watakuwa:

Mh. Angela Kairuki
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba wa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania;

Mh. Tundu Lissu (MB)
Waziri Kivuli wa Sheria na Katiba na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni

Hon. Aboubakar Khamis Bakari
Mjumbe wa Baraza La wawakilishi, Jimbo la Mgogoni Pemba,
Waziri wa Sheria na Katiba Serikali ya Umoja Zanzibar

Mwenyekiti wa Mdahalo huu: Rosemary Mwakitwange Muongozaji wa Kipindi cha TV cha Tanzania Tunayoitaka' The Tanzania We Want'

Jumapili Oktoba 27, 2013, Muda: Saa 10 - 12 Jioni
Mahali: Ukumbi wa Kivukoni, Hoteli ya Serena DSM.

Mdahalo huu utarushwa ‘live' kupitia Kituo cha Television cha ITV na Radio one
MDAHALO HUU UNALETWA KWENU NA EABMTI, School of Journalism and Broadcasting na washirika Wake.

Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu.
East Africa Business & Media Training Institute | Center of Excellence
Kwa kununua meza ya matangazo wasiliana nasi kwa simu namba.

Kama una swali ungependa liulizwe tafadhali litume kupitia info@eabmti.co.tz
Kama unataka kushiriki tafadhali wasiliana nasi kwa ajili ya kupata kadi ya mwaliko.
 
hivi hakuna metch ya mpira tuangalie kila siku katiba kuchezea pesa tu hapo mtasema mmetumia milion 500.shame on you
 
Hivi waziri mzima na akili zako ukakae kwenye mdahalo na mgonjwa wa akili. Umefika wakati sasa hawa wakosefu wa akili waachiwe peke yao.
 
View attachment 118040

Jumapili hii live kupitia ITV, kuanzia saa 9 - 12 jioni EABMTI itakuletea Mdahalo wa Katiba Mpya 'tunakoelekea'. wazunmgumzaji kwenye mdahalo huu watakuwa:

Mh. Angela Kairuki
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba wa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania;

Mh. Tundu Lissu (MB)
Waziri Kivuli wa Sheria na Katiba na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni

Hon. Aboubakar Khamis Bakari
Mjumbe wa Baraza La wawakilishi, Jimbo la Mgogoni Pemba,
Waziri wa Sheria na Katiba Serikali ya Umoja Zanzibar

Mwenyekiti wa Mdahalo huu: Rosemary Mwakitwange Muongozaji wa Kipindi cha TV cha Tanzania Tunayoitaka' The Tanzania We Want'

Jumapili Oktoba 27, 2013, Muda: Saa 10 - 12 Jioni
Mahali: Ukumbi wa Kivukoni, Hoteli ya Serena DSM.

Mdahalo huu utarushwa ‘live' kupitia Kituo cha Television cha ITV na Radio one
MDAHALO HUU UNALETWA KWENU NA EABMTI, School of Journalism and Broadcasting na washirika Wake.

Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu.
East Africa Business & Media Training Institute | Center of Excellence
Kwa kununua meza ya matangazo wasiliana nasi kwa simu namba.

Kama una swali ungependa liulizwe tafadhali litume kupitia info@eabmti.co.tz
Kama unataka kushiriki tafadhali wasiliana nasi kwa ajili ya kupata kadi ya mwaliko.

Muda rasmi wa kuanza ni upi kati ya saa tisa na saa kumi? Tufafanulie.
 
Sasa ni dhahiri kuna tatizo toka vijana wa Ccm! Hivi unaweza kuwa na akili timamu ukalinganisha mjadala wa katiba na mechi ya mpira???

Mi nadhani kuna tatizo nchi hii! hivi hawa ndo tunabishana nao siku zote? Wamezoea kuiba na kubeba madawa ya kulevya basi! Nchi hii imelaaniwa. Mungu tuepushe na balaa hili (Ccm).
 
Mh. Angela Kairuki
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba wa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania;

.
Kwa Lissu, huyu mama ajipange asije akatoa Chozi!!, nakumbuka mdahalo wa Lissu na Job - Jamaa alitaka kupigana -- Lissu anawazidi mbali mno - Tatizo huwa hawajisomei baada ya kumaliza hayo ma-degree yao ya darasani.
 
Tanzania we want tunawatakia kila la kheri, lamsingi busara na hekima vitawale mdahalo na isiwe njia ya kulumbana, kusutana,wala kuweka maslahi fulani ya kiitikadi bali tutambue kwamba katiba ndio moyo wa nchi yoyote na mahali popote pale, hivyo wazungumzaji wazingatie weledi na watoe elimu inayopaswa kusaidia watanzania wanaohitaji kuelewa mchakato wa katiba jinsi unavyoenda . Lamuhimu sana mdahalo usitumike kusemana uccm au uchadema au vyovyote kinyume na malengo ya mdahalo.
 
KUMBE KILA MTU ANKUWA NA AKILI ZAKE. LAKINI KWA AKILI HII KWELI MUNGU AKUSAMEHE HUJUI ULITENDALO, AKILI YAKO IMEVAMIWA KWELIKWELI, SHAME ON YOU M23.:sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleep::sleep::sleep::sleep::sleep::sleep:
 
Wadau, tunawashukuru sana na kufuatilia kwa karibu ushauri wenu, tutashukuru pia kama mtaweza hata kujadili hapa maeneo ambayo yapewe kipaumbele kwenye mjadala huo. Tunataka tuwe wasikivu kwenu ili mjadala huu uwe wa kitaifa ili kuelekea kule tunakotaka, 'The Tanzania We Want'!
Asanteni.

Rosemary Mwakitwange
 
Nina mashaka na Ofisi ya KATIBA na SHERIA kutowa na Mwakilishi kwenye huo mdahalo! Mnajua watu wanavyolalamikia madudu wanayopitisha ccm huko Bungeni ckwamba wenyewe hawajui km wanapitisha ujinga Sema nivilie wanalinda UGALI Kwahiyo kuja hadharani kutetea UONGO mtu 1 peke yake yataka MOYO ni ngumu kwakweli afadhali kule Mjengoni KITI kinakuwa chaMAGAMBA kinapunguza Dhoruba! Nway ngoja tuone!
 
Nahisi waziri wa katiba atapata dharula,maana anajua alivyoyakoroga kuhusu hii katiba.
 
Back
Top Bottom