Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Kwamba kuna mtanzania wa kawaida mwenye akili inayojiongoza tofauti na Chawa na wanufaika wa fedha chafu anayeweza kupoteza muda wake kusikiliza ngonjera za Muungano asio na faida nao?Zimesalia siku mbili kuelekea siku kubwa ya kumbukizi ya Miaka 60 ya kuundwa kwa Jamhuri Muungano wa Tanzania [emoji1241]
Umoja wa Wanawake Tanzania UWT umeandaa Jambo kubwa la kitaifa kwa Wanawake kuelekea siku hiyo ya kihistoria na Leo Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Mary Pius Chatanda anapita kwa Makachero wa Taifa #SentroCloudsTv kulitambulisha Jambo.
Iverify @CloudsTv
#SentroCloudsTv
#Tumekuverify
View attachment 2973062