ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 107
Prof. Lipumba atakuwa Jangwani leo. Kuna ka-ujanja fulani kanatumika kwa sababu kama leo atakuwa live kwenye TBC na kesho atakuwa tena live kwenye "mdahalo" hiyo itakuwa good coverage. Kwa hiyo wameona bora wamalize kila kitu leo ili asionekane tena kwenye TV mpaka uchaguzi!
Wa Mkwere lini?
HAAAAAAAAAA:nono:jumapili jioni