Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

Status
Not open for further replies.
Nitachangia iwapo tu nitahakikishiwa kwa namna yeyote ile Mzee Mwanakijiji hahusikl na hifadhi ya michango. Hii inatokana na "kutuachia manyoya" wakati wa michango wa wanafunzi wa Ukraine.
 
Nitachangia iwapo tu nitahakikishiwa kwa namna yeyote ile Mzee Mwanakijiji hahusikl na hifadhi ya michango. Hii inatokana na "kutuachia manyoya" wakati wa michango wa wanafunzi wa Ukraine.

Du mwanakijiji mwaka huu!
 
Jamani siku ndiyo zinakaribia bado tunaitaji support yenu nyie wote wapenda maendeleo ya kweli!. Karibu na utoe ahadi , mchango au waambie watu wengine.

Asante
 
Tayari kuna Facebook group kuhusiana hili. Kwa zaidi hapa: Campaign for Presidential Debate in Tanzania 2010

Sasa unamaanisha nini! Hapa sio sehemu ya kuhamasiha au kutaarifu watu hii i sehemu ya kuchukua hatua. Thread hii ni ya ku rise fund kwa ajiri ya mdahalo. Fedha ikitimia tunatoa ofa kwa vyama kushiriki asiye taka kivyake. sababu kubwa ya kufanya hivi ni kukataa dhana ya kuwategemea watu ambao hawategemeki kwani miaka inapita tu huku tukiwa tunawategemea
 

Inakuwaje mkuu tutafanikiwa kweli hapa???? kwa speed hiii?
 
Vipi mada zimeshaandaliwa ili tuanze kuunda maswali juu yake?
 
Jamani mimi naomba kutoa hoja, hivi ni kwa nini maswala mengine watu hata mkichangia kwa sababu yanatolewa na watu fulani na wameshayafanyia maamuzi, haujibiwi, concerns zako haziwi addressed, na swala lile linasonga mbele kama vile hakukuwa na hoja mbadala, juu yake. Huu ni mfano mmojawapo, kuna wengine tuliuliza swali ya kwamba kwa nini JF wa re invent the wheel wakati hii initiative imeshaanzwa na watu wengine? na tukauliza hizo hela zinazochangishwa ni kwa ajili ya nini? ni air time, ni allowance ya participation ama nini? Hivi mtatumia strategy gani kwa mfano kuhakikisha mgombea wa CCM ambaye yuko very sensitive na mambo kama hayo, kukubali? so far hakuna reporter aliyewahi kwenda nae live kwenye Q & A, si local wala international, hata Shaka Salli alikataliwa live show aliishia kuulizana nae peke yake bila kupokea simu. Hakuna jibu watu bado wako kwenye changia hela utatoa ngapi, I personally find this to be very cheap, na naomba mnishawishi kwamba kuna strategy ya kufanikisha hilo this time. Hapa naona a very complex issue imefanywa so simple na kama vile obstacle pekee ni pesa, kitu ambacho sio kweli. Sasa hata kama comments zetu za kijinga, tusafisheni tu macho kuonekana hapa kuna dialogue na sio matumizi ya jukwaa kupitisha mnachokitaka kwa sababu hiki kinaonekana ni cha ki alinacha
 

Mkuu acha kulalama wewe changia kisha ndiyo uulize, masuali yako yatapata majibu pale tuu utakapochangia.
Mkuu nndondo mbona hauwahi kuchangia hata siku moja ili kuendesha JF sasa unaombwa kuchangia wewe changia kwani swala hilo litawezekana tuu.
nndondo acha kulalama
 

Pole nndondo

Joja yake imefika na imekubarika na nitaijibu kama ifuatavyo .

Dhumuni ya Thread hii ni kuchngisha fedah kwa ajiri ya kuandaa mdahalo ambao siyo lazima CCM ishiriki ila watakaribishwa kwa uswa kama vyama vingine vyote. Pia lengo ni kutaka mdahalo huu uandaliwe na JF ikiwa ni mpango wa kuanza kuthubutu na siyo kuwa watu wa porojo hapa 24 Hrs. Pia tunataka kuweka kumbukumbu kuwa hiki kitu kilifanyika, walioandaa mdahalo mwaka 2005 baaday ya mgombea mmoja kushindwa hawakutaka hata kutangaza kwenye vyombo vya habari wakaishia kimya kimya na hili hatutaki rijirudie.

Kufanya mdahalo ni nafasi ya vyama kupata air timu ya bure kuuza sera zao je ni kwa nini sasa hawa watu wanakimbia mdahalo ambao ni muda wa bure wa kuuza sera zao? Lakini pia hapa tunaweza kuona watu ambao ni wa porojo na watu ambao wanaweza kuchukua hatua kwa maswala mbali mbali. Nimefarijika sana kuona et least kuna watu 22 mpaka sasa ambao hawasubiri kwenye TV zao mdahalo uletwe na wafadhili bali wamejitolea kuufanikisha huu mdahalo.

Fuatilia utaona kuna gharama za mdhalo zimewekwa na njisi utakavyofanikishwa. lakini pia yunakaribisha maoni yako ili tuweze kufanikiwa zaidi.

Mkuu Kisoda

Mimi naamini kuwa tutafanikiwa lakini pia tunahitaji kufanya pamoja kwani principle inasema kuwa umoja ni nguvu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…