bullet
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 1,047
- 543
Hivi selikari yetu inaogopa debates au tunadanganywa na media? Tulitangaziwa kuwa katika mdaharo wa leo hapa Serena Hotel watoa mada watakuwa ni pamoja na naibu waziri wa sheria na katiba mh. Anjella Kairuki, Tundu LISSU na dr Mohamed Alei toka Zanzibar.
Unfortunately, Naibu waziri hakuudhuria wala hajatuma mwakilishi. Je ni fair hii? Tunakosa views from the government side.
Unfortunately, Naibu waziri hakuudhuria wala hajatuma mwakilishi. Je ni fair hii? Tunakosa views from the government side.