Mdaharo - Oppose or propose

Ukipewa Hela halafu usiende mnara utaambia non watu?
 
Kabla ya kitu chochote kile, muombe Mungu akujalie tu akili na maisha marefu. Hayo mengine yatakuja tu yenyewe kwa wakati wake.
 
utajiri sio kitu cha kumwomba Mungu, utajiri unatafutwa hauombwi, hata shetani anakupa kafara ya kufanya na masharti mengi ya kufanya ndo akupe utajiri.. ila vya kumuomba MUNGU ni uhai, na afya, na akili timamu(akili, hekima na maarifa) kama suleimani, kisha utakuwa na utajiri wa hali na mali hata wa mademu kama suleiman hahahaha, hapa namaanisha KING SOLOMON mtoto wa king David, na sio selemani wenu huyo wa mbosso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…