Mdalasini kwa mjamzito kuna tatizo

Mdalasini kwa mjamzito kuna tatizo

papua

Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
76
Reaction score
12
Naomba kuuliza Nina MDOGO wangu ana mimba miezi 8 na cholesterol Yake iko juu sasa ameshauriwa hospital I atumie junior aspirin na mdalasini sasa kila akila akitafuna mdalasini anasikia maumivu ivi huwa una shida au Ni matatizo mengine
 
Back
Top Bottom