dawa ya ugonjwa wa kisukari
upate aina za dawa zifuatazo, kila moja kiasi cha gram 100, saga
>>>>pamoja na dawa zifuatazo:
>>>>1. Shubiri
>>>>
>>>>2. Ubani
>>>>
>>>>3. Mvuje
>>>>
>>>>4. Ukwaju
>>>>
>>>>5. Habasoda
>>>>
>>>>(kiasi cha dawa hizi hazijatwangwa, hivyo jaribu kukadiria
>>>>mwenyewe) baada ya kusaga vizuri, gawanya katika mafungo matatu
>>>>yaliyosawa. Changanya fungu moja na maji kiasi cha chupa mbili na
>>>>uchemshe kwa dakika kumi. Ipua na iwache ipoe, chuja na hifadhi
>>>>katika chupa nadhifu.
>>>>
>>>> matumizi ya daya yenyewe
>>>>
>>>>tumia kila siku kikombe kimoja cha kahawa kabla ya kula chochote
>>>>asubuhi kwa muda wa siku 13. Ikiisha dawa hii basi chukua fungu
>>>>la pili na uchemshe kama ulivofanya kwa fungu la mwanzo. Tumia
>>>>daya hii tena kwa muda ule ule wa siku 13.
>>>>
>>>>itakapokwisha dawa hii basi chukua fungu la tatu na uitayarishe
>>>>kamaulivyofanya mafungu mawili ya mwanzo. Tumia dawa hii kama
>>>>dawa hizo mbili za mwanzo ila tu kwa muda wa siku 14 , hii
>>>>itafanya jumla ya siku za kunywa daya kuwa siku 40.
>>>>
>>>>baada ya siku hizo 40 utajisikia kuwa ugonjwa wa kisukari
>>>>umekwisha na unaweza kuanza kula vitu vyote ulivyokuwa
>>>>umekatazwa. Inshallah kwa kudra zake mwenyezi mungu utakuwa
>>>>umepona maradhi hayo.
Kuhusu mdalasini haina madhara na mtu mwenye ugonjwa wa kisukari au hata asali ukipata asali safi haina madhara na mtu mwenye ugonjwa wa kisukari hiyo asali safi mbichi. Tumia hizo dawa zangu hapo juu kisha unipe feedback.