Mdau: Je, kwenye Taaluma ya Tiba kuna walakini?

Mdau: Je, kwenye Taaluma ya Tiba kuna walakini?

Montserrat

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
10,938
Reaction score
14,745
Rafiki yangu amelazwa kwenye hospital kubwa kuliko hapa nchini. kabla ya kulazwa alianzia hospital ya mkoani wenyewe wanaziita za rufaa baadae akapewa rufaa kuja hospital moja yenye jina kubwa DSM.

Tatizo lake halikupata ufumbuzi it is like they were treating shadow. Hivyo akaamua kuomba rufaa kwenda kwenye hospital kubwa kuliko. Baada ya kufika hapo daktari akakataa kupokea vipimo alivyokuja navyo mgonjwa kutoka hospital yenye jina kubwa hapo Dar. Daktari akasisitiza kwamba mgonjwa atachukua vipimo vipya (similar) hapo hospitalini. results will be out today.

What does this tells? He (doctor) doesn't trust the other doctors/hospital? That there is no objectivity in medical industry? Kibaya zaidi kila daktari anayekutana naye kwenye matibabu yake anamwambia ugonjwa tofauti. Jamaa amechoka.
 
Sijaona kosa la daktari kutaka kuchukua vipimo upya, huwenda anataka kuangalia zaidi ya wenzake walivyofanya na hiyo ndiyo maana ya HOSPITALI KUBWA.

Hata akitoka hapo kwenda Apollo, India hawezi kuanza kutibiwa kwa vipimo kutoka zahanati za Tanzania.
 
Sio kosa kurudia vipimo. Huenda kuna mabadiliko ndani ya siku zilizofata tangu alipopima mwanzo.
 
Back
Top Bottom