Mdau kipi ambacho kilikuvutia zaidi katika ligi kuu 2023/2024?

Mdau kipi ambacho kilikuvutia zaidi katika ligi kuu 2023/2024?

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Msimu wa Ligi kuu ya NBCPL ulitamatika mwishoni mwa mwezi wa 5, 2024 na Yanga ndiyo alikuwa Bingwa Tuambie mambo gani yalikuvutia zaidi katika msimu huo?
 
1.Kipigo nje ndani alichopata Simba(kolowinyo).
2.Game one dhidi ya Azam ilikuwa classical.
3.energy ambayo yanga wamekuwa nayo ilikuwa level sana.
4.Mudathiri Ali upgrade sana kiwango chake.
5.Najeem kutoka Tabora ilikuwa Raha kumuangalia akicheza.
6.Yanga kumaliza na 80 points ambazo ni 11 dhidi ya wapinzani maana yake yanga ya misimu miwili iliyopita bado ingeweza kuchukua ubingwa mbele Yao wote bila shida (74-78 points)
 
Uchambuzi wa kihasibu wa Aziz ki kutoka kwa mwasibu wetu...tuliemuagiza kutoka kikuu.
 
Ubingwa wetu Wababe wa vita Club Le Athletic Internationale Dar es salaam Young Africans.
 
Me ni yanga ila

Ila Performance ya ley matampi sikutarajia kama kipa huyu angecheza COAST UNION
mafanikio ya COAST UNION mwaka huu yametokana na huyu kipa
pqmoja DJGUI kuwa best ila kwa msimu huu amepata mpinzani wa kariba yake
Ndo mana msimu huu hatukusikia zile kelele za sijui BAHASHA BAHASHA za Gsm
Yote ni kwa 7bu hata timu za kawaida tusizozitegemea zilijiandaa vizuri

Nategemea msimu mpya ukianza TIMU zitajiandaa vizuri zaidi na kutuletea watu DIZAINI ya matampi
Sio kila wachezaji wanzuri lazima iwe simba au yanga TIMU ndogo nazo zijifunze kutafuta wachezaji nzuri kupitia kwa watu wenye PROFESSINAL yao ziache kuleta SIASA kwenye MPIRA
Mana msimu huu kuelekea UCHAGUZI MKUU ndo wataleta SIASA sana
sasa kama timu NDOGO zikikubari kutumika zitegemee Simba na yannga na Azam kwa mbali kupokezana mataji
 
Back
Top Bottom