Mdau: Mlitaka Rais afanye nini kuhusu tozo ya miamala ya simu?

Bajeti ya nchi yafaa wanachuo wapewe Kazi hio ya kuaandaa bajeti na sio hao wanasiasa kula kulala awayajui maisha halisi ya watz.
 
Sasa uchumi umeshuka, wewe unafikiri hao wachangiaji wao uchumi wao haujashuka?
 
neno
 
Bajeti ya nchi yafaa wanachuo wapewe Kazi hio ya kuaandaa bajeti na sio hao wanasiasa kula kulala awayajui maisha halisi ya watz.
Uko sahihi sababu kampuni zenyewe za simu nyingi zina bando la wanachuo zikitambua umuhimu wao. Serikali wawape kazi ya kutengeneza bajeti
 
Upo mdau kimya sna usharudi jamvini maana uliomba likizo ulituaga.
Uko sahihi sababu kampuni zenyewe za simu nyingi zina bando la wanachuo zikitambua umuhimu wao. Serikali wawape kazi ya kutengeneza bajeti
 
Wizara ya maji & wizara ya nishati na madini hiv hii kwann isiwe wizara moja? Ama mm ndio mjinga? Kwan maji sio nishati?
 
wanachuo hawa ambao wanatrend na pornograph gheton mwao
Hata wabunge wamo hio sekta haina rika ni burudani baada ya Kazi.
Wanachuo wanayajua maisha halisi ya watz.Kama sio wanachuo wapewe walimu hii ni kada pia inayajua maisha halisi ya watz.
 
Hata wabunge wamo hio sekta haina rika ni burudani baada ya Kazi.
Wanachuo wanayajua maisha halisi ya watz.Kama sio wanachuo wapewe walimu hii ni kada pia inayajua maisha halisi ya watz.
basi tusiwe na bunge kama ambao tunawategemea ktk kupaza sauti zetu hawayaoni haya
 
Upo mdau kimya sna usharudi jamvini maana uliomba likizo ulituaga.
Tumewachia mama na timu yake ya poppote iikiwemo mitandaoni asione timu Magufuli tunamwingiiia

sio niliomba tu likizo tu ila nili log out for good lakini ikiweko issue serious hatarishi kwa CCM na serikali narudi. Hili la kuongeza tozo no no no no no. ana washauri wabovu kwenye Hili tena wabovu mno beyond repair wanataka kuua financial Inclusion ya watu majority wa chini ambao ni unbankable pesa zao ziko tu mitandao ya simu..

Hii Sera ya kuongeza tozo ni ya kuua financial inclusions ya watu masikini Zungu aliyetoa huo ushauri ni fisadi limehonngwa na mabenki kuua financial inclusion na huyo waziri wa fedha afungashwe virago Ina hajui what's financial inclusion kwa watu maskini na wa hali ya chini? Aulize Kikwete anajua vizuri sana dhana ya financial inclusion Kikwete alifanya vizuri mno kwenye hili. mama Samia aongee na Kikwete kwenye hili asisikilize Zungu wala waziri wa fedha aongee na Kikwete ampe somo nini maana ya financial inclusion na kuongeza tozo athari zake nini
Timu Magufuli tutakuwa tukiingia kuchangia tukiona hapa no no no na pamekaa vibaya mno
 
Kwamba?

"Rais alishatuweka wazi kuwa uchumi wetu ulishuka na sababu iko wazi kabisa kutokana na janga hili la corona."

Huo uchumi ulioshuka ni kwa serikali tu? Na kwa watu binafsi na biashara zao je?
 
Aahakujibu huko tunasubiri tena ubadilishe gear angani

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo tozo haieleweki ni ya nini kwenye miamala.
Mimi ndugu yangu amekufa tumetumiwa fedha za mazishi kwenda kuzitoa mpaka tugawane na serikali?
Wakifa wengi furaha kwa serikali. maana Miamala mingi na italeta pesa mingi.

Nchi inajengwa na walipa kodi, haiepukiki kulipa kodi, tunahitaji shule, barabara, hospitali n.k serikali imeeleza strategy zake ili mzunguko uongezeke
 
Uchumi unakuzwa kwa kuchochea uzalishaji na sio kuongeza tozo mpya kwenye vyanzo vilevile vya mapato

Uzalishaji hauchochewi kwa kuni ila miundombinu bora, Elimu na ujuzi wa kisasa, Afya bora n.k
 
Sasa uchumi umeshuka, wewe unafikiri hao wachangiaji wao uchumi wao haujashuka?

Sambamba na kushuka huko, tozo zilizofutwa na kupunguzwa katika bajeti hii zinaleta nafuu ukichanganya na strategy yake ya kurudisha fedha kwa wananchi kwa kulipa madeni inaongeza mzunguko hivyo tutahimili tozo hizi hapo mbele
 
Mjinga hua anadhani wengine nao wajinga.
Baki na ujinga wako kwa mumeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…