tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,308
Pita ndani mgeni.Habari zenu wakuu!, mi ni mgeni hapo naomba mnipokee. Nahitaji kujifunza mengi toka kwenu kazi njema!!!
Karibu sana na pia kama kweli una hitaji kujifunza basi kuwa tiari kubadilika!
Mlango upo wazi ingia tu dada tina
Pita ndani mgeni.
asante mwenyeji wangu na kiti unipe.
Katavi huu ukaribishaji huu nna mashaka nao lolKinywaji gani unahitaji?
Kinywaji gani unahitaji?
Karibu sana JF mkuu......