babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Yule jamaa balaa hajafa tu. Mara ya mwisho pale 2002Kitimoto ya maana ipo moshi kibororoni kwa mlomboo
Mianzian ya dar taifa?Ya kuchoma kwa foil tamu acha, kwa wiki lazima nipitie mianzini nipige kilo kadhaa basi burudani kabisa
Kitimoto ya maana ipo moshi kibororoni kwa mlomboo
Napat wapi kitimoto kigamboni
umepandwa majini nn? unaleta story za kujuana hapa? live your lifeWewe ni Shehe,Tena masjid Quiblaten huko Kariakoo,Kabila ni Mzigua maana kwa uongo umepitiliza.
Eti Kitimito kwa mromboo ,Kiboroloni,Stupid wee,Mromboo ni Chugga na kule kuna Mbuzi tu,Kiboroloni ipo Untonye Ukononze,
Rosti shata shata.. Rosti mboga mboga au kavu.. Embu tupe ujuzi wako mdau..Vipi kuhusu viungo.. Unapenda iwekewe viungo au unataka ule ikiwa na ladha yake tukufu?
Ramadhan ni yako na ndugu zako. Tuache Wagalatia tunufaike na punguzo la NUSU BEI kwa mwezi huu.
Duuuu...mkuu umetisha sana.Mimi huwa nafuturu na Kitimoto choma.
Kama umefunga nini kimekuleta hukuKisa tu tumefunga.
Pale Rudy nilikuwa napapenda kweli ila ikafikia pointi mtu unasubiri mda mrefu.ya pale rudy's farm
Acha kutomboka papaa[B ] Alihamdulilah bei imeshuka basi mambo ya kheri hayo. Nanunua kilo 3. Naweka ndani natomboka kikongo na nguruwe
Kavu kavu
UMEFUATA NINI KWENYE POST YA KITIMOTO?Asttaghafulilah, tusiharibiane swaum kwa kujadiri haramu mchana wa Ramadhani.