Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

MAENEO YANGU YA KULA KITIMOTO
1.KWA MAMA KAMCHE
2.LIQUID PUB
3.MAENEO YA KAIRUKI PALE KUNA KITIMOTO CHOMA SAF SANA
4.KWA PASUA MWANANYAMALA
5.BASHITE BAR...NYUMA YA BIAFRA
6.MINJA GROCERY MOSHI
7.KWA MROMBOO ARUSHA

M napenda ROSTI SHATA SHATA...NA NDIZI SAFI
 
Nyie watu mnaniua na haya mapicha yenu jamani!!! Na nilivyo na ubaooo... Ukicheki jikoni kuna ugali na majani ya maboga!!! [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Sema ulipo nikupitie ukate kishoka kish tuitafune ...shart usiwe mtu wa pozi eti robo kilo tu unagwaya ooh nimeshiba hapana asiee...atleast kuanzia nusu kilo! Sawa?
Kitu cha kuchoma mkuu, ndiyo napata hapa! KARIBU sana Kiongozi
 
rosti shata shata yenye mautundu mapya na mwezi huu jioni hii mmh ni kujilamba tu
 
Rosti shata shata.. Rosti mboga mboga au kavu.. Embu tupe ujuzi wako mdau..Vipi kuhusu viungo.. Unapenda iwekewe viungo au unataka ule ikiwa na ladha yake tukufu?
Rosti shata shata.. Rosti mboga mboga au kavu.. Embu tupe ujuzi wako mdau..Vipi kuhusu viungo.. Unapenda iwekewe viungo au unataka ule ikiwa na ladha yake tukufu?
isingekua huu mfungo hii sred ingekua page ya 20 sasa hivi..
 
Hii nyama inaheshima yake, vyovyote utakavyo tengenezewa ni tam tu, Jameni!!! Nimeongea nikahisi mate yamejaa mdomoni nikikumbuka utam wake duu, Mungu aliumba jamen
 
Sasa ukiondoa mafuta yote.. Majini yatakimbiaje.. Mana nasikia mafuta yake ni bomu la machozi kwa majini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…