Mdau, yapi maoni yako kuhusu komando Ruby kurekodi anti virus vol 3?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kuna habari zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba komando Ruby yuko studio anafanya album aliyoipa jina la Antivirus volume 3.
Mdau yapi maoni yako kuhusu hili?
 
Kuna habari zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba komando Ruby yuko studio anafanya album aliyoipa jina la Antivirus volume 3.
Mdau yapi maoni yako kuhusu hili?
Haaaaaa haaaaaaa ya Sugu mwachieni Jide jamani[emoji4] asivimbishwe sana bichwa tukaanza mlamba kama yule kiuno bila mfupa wa Changanyikeni
 
Hawezi kwakuwa hajui kutunga wala kuimba aliotea kanyimbo kamoja tu
 
Kuna habari zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba komando Ruby yuko studio anafanya album aliyoipa jina la Antivirus volume 3.
Mdau yapi maoni yako kuhusu hili?

Mwasisi wa hizo Antivirus na ubunge wake wote kaenda kumpigia magoti rugemalila..sa hivyo vichokoraa vingine navyo sijui havikusikia kuona au kuhadithiwa??..
 
Mwasisi wa hizo Antivirus na ubunge wake wote kaenda kumpigia magoti rugemalila..sa hivyo vichokoraa vingine navyo sijui havikusikia kuona au kuhadithiwa??..
sugu alimpigia magoti ruge lini,utakuwa bwabwa wewe
 
We cchoko kweli ina maana hujui???..wenzako wote wamesha salenda hadi mume wenu sugu bado wewe rubi na bibi yako tu
ndomana nakwambia utakuwa unapigwa mbasa wewe nimekuuluza lini sugu kawaomba wakinaruge kama hujui au unanyegezako za tekenywa mnato washimo la choo usiwe unaropoka kalia kigogo watu wakueleweshe punga zeze wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kulalake et komando ruby dah nimecheka hadi sio vizur...
Makomando wapo wengi kumbe nlijua tu niwale nliowaona siku ya maadhimisho ya uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…