Halima, usisema umeona comment hapa, yaliyoletwa hapa yametoka kwenye media.
Halima Mdee ameripotiwa kwenye press anatafuta mtu wa kumzalisha, na mwanamme anaeweza kumudu powerful woman like herself bila kumuogopa, yani anatafuta dume la mbegu. Ndivyo ilivyoripotiwa.
Kama imekaa vibaya usijitetee kwa kusema umeyaona hayo hapa, kubali umechemka kwa kutoa picha kwamba unajiona uko desperate with your prospects of finding Bwana Lijali.
Kwa kiongozi anaeheshimiwa ni aibu sana, niliposoma hizi ripoti za media nikasema duuh, Mdee amekuwa Banji?