Katesh stand
Member
- Sep 24, 2020
- 41
- 75
Wadau wa JF habari!
Kama ikitokea hawa wanawake wakatambua kua wamekosea na kuomba radhi nashauri wasamehewe. Jambo hili limetukwaza wengi ila kama watakiri makosa wasamehewe na tuwapokee.
CCM iliweza kuwasamehe kina Sophia Simba. Jesca Msambatavangu na wengineo hivyo sio ajabu kwa kuwasamehe waliokuwa wanachama wetu watakapo tubu.
Chama cha siasa mtaji wake ni watu hivyo ikitokea wakaomba radhi viongozi wetu msisite kuwasamehe.
Mwisho kabisa niushukuru uongozi wa juu wa chama na kamati kuu kwa ujumla kusimamia nidhamu ndani ya Chama.