Katesh stand
Member
- Sep 24, 2020
- 41
- 75
🙌🙌 sawa mkuuWaombe kwanza ndiyo hayo tujadili
Halima tayari amepokea asubuhi hii kadi ya CCM toka kwa PolepoleKwani wamefanya kosa gani hadi waombe msamaa 😀😀.. wakajiunge na kijani moja biashra iendelee...
Maendeleo haya chama
Noted🙌🙌 sawa mkuu
CHADEMA sio CCM, huku msaliti ni msaliti tuWadau wa Jf habari!.Kama ikitokea hawa wanawake wakatambua kua wamekosea na kuomba radhi nashauri wasamehewe.Jambo hili limetukwaza wengi ila kama watakiri makosa wasamehewe na tuwapokee. CCM iliweza kuwasamehe kina Sophia Simba,Jesca Msambatavangu na wengineo hivyo sio ajabu kwa kuwasamehe waliokuwa wanachama wetu watakapo tubu.Chama cha siasa mtaji wake ni watu hivyo ikitokea wakaomba radhi viongozi wetu msisite kuwasamehe. Mwisho kabisa niushukuru uongozi wa juu wa chama na kamati kuu kwa ujumla kusimamia nidhamu ndani ya Chama.
Na wakawe wabunge wa huko huko. Huku chadema, wameishamaliza kulea kukuza. Waende sasa wakaolewe huko waendapo.Halima tayari amepokea asubuhi hii kadi ya CCM toka kwa Polepole
Leo hii anaitwa Mdee, sio msaliti na covid 19 tena? Mbona mnahangaika kama kuku anaetafuta pakutaga? Waacheni wabunge wawatu wasio na chama wafanye kazi zao.Wadau wa Jf habari!.Kama ikitokea hawa wanawake wakatambua kua wamekosea na kuomba radhi nashauri wasamehewe.Jambo hili limetukwaza wengi ila kama watakiri makosa wasamehewe na tuwapokee. CCM iliweza kuwasamehe kina Sophia Simba,Jesca Msambatavangu na wengineo hivyo sio ajabu kwa kuwasamehe waliokuwa wanachama wetu watakapo tubu.Chama cha siasa mtaji wake ni watu hivyo ikitokea wakaomba radhi viongozi wetu msisite kuwasamehe. Mwisho kabisa niushukuru uongozi wa juu wa chama na kamati kuu kwa ujumla kusimamia nidhamu ndani ya Chama.
Kama hujalewa sawa..msamaa ndio kitu gani!?.
Mkuu Bujibuji naelewa kosa walilotenda limeumiza wengi ila kwa ushauri wangu wasamehewe tupunguze hasira katika hili.
Chanzo cha taarifa hizi ni kipi mkuu!?.Halima tayari amepokea asubuhi hii kadi ya CCM toka kwa Polepole
Warudi ili wasaliti tena? Mi nawashauri tu, wakaanzishe chama chao, najua CCM watawasaidia na watawaunga mkono, na watakifanya kuwa chama kikubwa cha upinzani, ili kila ambacho CCM wanakusudia kukifanya, wapewe green light kirahisiMkuu Bujibuji naelewa kosa walilotenda limeumiza wengi ila kwa ushauri wangu wasamehewe tupunguze hasira katika hili.
Wapo,wazima kabisa, karibu sana mkuu.We jamaa Katesh stand mnaendeleaje hapo kwenye mavumbi na mchanga wa kuchapa nyayo za miguu. Eli mtei hapo pick n' pay hajambo?!....kina joachim na baha wa hapo chini friends corner je?!
Hakuna shaka mkuu shukran ntakuja someday kuna mishe nije kufanya mapori ya hapo. Kule mlima duru opp gijegha.Wapo,wazima kabisa,karibu sana mkuu.
Acha kutukana watu,kila mtu ana maoni yake, nyie praising team mbona hatuwatukani!?. Pia sio lazima uchangie kuficha ujinga wako, waweza soma ukapita.LEO HII ANAITWA MDEE, SIO MSALITI NA COVID 19 TENA?? MBONA MNAHANGAIKA KAMA KUKU ANAETAFUTA PAKUTAGA?? WAACHENI WABUNGE WAWATU WASIO NA CHAMA WAFANYE KAZI ZAO.
Haahaa ni uzushi mkuuHalima tayari amepokea asubuhi hii kadi ya CCM toka kwa Polepole