K Kiongozi mkuu2020 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 1,748 Reaction score 998 Nov 30, 2020 #41 Katesh stand said: Acha kutukana Click to expand... Leo hiii ndo umegundua kuwa hayo nimatusi, ilajuzi ulipokua umeshikilia bango la kuwaita niwasaliti na ni covid 19 ilikuwa ni upako mtakatifuu. Hatujasahau mlichowafanyia wanawake hawaa
Katesh stand said: Acha kutukana Click to expand... Leo hiii ndo umegundua kuwa hayo nimatusi, ilajuzi ulipokua umeshikilia bango la kuwaita niwasaliti na ni covid 19 ilikuwa ni upako mtakatifuu. Hatujasahau mlichowafanyia wanawake hawaa
K Kiongozi mkuu2020 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 1,748 Reaction score 998 Nov 30, 2020 #42 Crimea said: Hahahha.. Ni pale unapomuacha demu na huku bado unampenda Click to expand... Yaaaanii kiukweliii maamuzi yale kukurupuka hiii dhambi bado inawatafuna hawa jaamaaa. Na badooo watajutaaa
Crimea said: Hahahha.. Ni pale unapomuacha demu na huku bado unampenda Click to expand... Yaaaanii kiukweliii maamuzi yale kukurupuka hiii dhambi bado inawatafuna hawa jaamaaa. Na badooo watajutaaa
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 30, 2020 #43 LIMBOMAMBOMA said: Haahaa ni uzushi mkuu Click to expand... Nimeona TBCCCM
std7 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 2,293 Reaction score 3,928 Nov 30, 2020 #44 Mtu akikosea akajua kosa lake, akaomba msamaha anasamehewa.