Hallo wana JF
Habari za mchana poleni sana na majukumu ya siku nzima
Mimi ni kijna nina mkakati wa kufungua shule ya english medium huko jijini mwanza .
Nko katika maandalizi ya awali kabisa ya msingi ambapo ningependa kujenga shule nzuri rakini itakayo tumia gharama kidogo kabisa kulingana na kwamba wakandalasi wakubwa tutakuwa ss wenyewe kwa ss nko kama asilimia 50 hivi ya maandalizi kama ifuatavyo
Sasa basi nilitaka mtu,kikund au kampuni kunisaidia kiwango cha feza ambacho kitaniwezesha kuanza ujenzi angalau hata madarasa sita ya upande mmoja.Ambapo tutakaa mezani ili tujadili vile tutalipana
Natanguliza shukrani kwa wadau wote wa jamii forum
Namba zangu ni 0767645631/0786645631

- Kiwanja cha kujengea shule eneo zuri limezubgukwa na makazi ya watu
- Ramani kwa ajiri ya shule yenyewe ya kisasa
- Mashine ya tofari kwa ajiri ya ujenzi
- Mashine kwa ajiri ya kutengeneza viti na meza za wanafunzi na meza za staf
- Machine kwa ajiri ya kutengeneza magree na mirango ya chuma ya madarasa
- machine kwa ajiri ya aluminiun na cabinet za maofisini