Mdhamini wa kuwezesha kuanzisha kiwanda kidogo cha bites

Mdhamini wa kuwezesha kuanzisha kiwanda kidogo cha bites

sir. Mwasongwe

Senior Member
Joined
May 30, 2015
Posts
106
Reaction score
75
Habari za Kazi wadau wa maendeleo.

Tunatafuta MTU anayeweza kutudhani, au kufanya naye kazi kulingana Na wazo letu kuanzisha kiwanda kidogo cha bites bajeti ni 2,705,000. Mdhamini atanufaika kwani tutakaa mezani Na kupanga namna ya kupata gawiwo la faida kila mwezi baada ya mauzo yote.

Utafiti tumefanya tumejiridhisha.

Wazo La kuanzisha uzalishaji wa vitafunwa vyote (bites) kama vile mkate, skonzi, keki, tambi, kokoto, clips, chapati nk tunapika wenyewe

Soko lipo la uhakika jijini dar es salaam Na nje ya dar es salaam

Mahitaji yanayo hitajika.

1: oveni ya kuoka mikate 1@700,000=700000

2: mixer 1@500,000=500000

3: mafuta Lita 10@3500= 35000

4: umeme 20,000

5: Baiskeli 2@150000=300,000

6: makopo ya mkate dz 10@25,000=250,000

7: makopo ya skonzi dz 10@10000=100,000

8: pango la chumba miezi 3@ 50,000 =150,000

9: vanila, maziwa, calcium, mifuko na kuprint nembo, food colour =200,000

10: ngano mifuko 10@35000=350,000

11: tahadhari =100000

Jumla ni 2,705,000

Kwa maelezo zaidi 0758978644
 
mnategemea ku-break even baada ya miezi mingapi ?
Sijaona mishahara mtaanza kujilipa baada ya mdhamini kulipwa ?
Mdhamini atalipwa percent ngapi baada ya mtaji wake kurudi.., au ndio anakuwa shareholder to infinity ?
 
Sijaandika vyote ila nimetoa kama summary tuu. Baadhi ya vitu inatakiwa kukaa mezani Na mdhamini kukubariana.

Mshahara pia tunaweza gawana katika asilimia kwenye faida. Mfano 20% ya faida atachukua mdhamini, 30% ya faida inaenda kwa wafanyakazi, 30% ya faida inaenda kwenye kukuza mtaji, 20% ya faida inaenda kwenye akiba.

vipi hili wazo liliwezekana?
 
hongera sana mdau. vp hakuna picha 2 tatu ?
Tumeanza Na clips, tambi, Na vikokoto. Kutokana Na kiwango chetu cha fedha kidogo sana lakin malengo yetu n kuzalisha bites zote
IMG-20190829-WA0027.jpeg
IMG-20190829-WA0026.jpeg
 
Kwa sasa hatuna uwezo wa kuajiri maana production bado n ndogo ndiyo maana tunatafuta mdhamini
mimi nipo jijini mwanza mkuu na nategemea kuja dar ndani ya wiki moja kwa ajili ya interview. naomba msaada wako nipate kazi ya muda mfupi huku nikihudhuria usaili wa utumishi wa umma. nafasi zilizotangazwa ni katika shirika la meli, TASAC.
MSAADA WAKO
 
Hapo kwa baiskeli nenda pale karibia na machinga complex wanauza 105,000 watakuanzia mbaliii ila wanauza hivyo au pale kwenye corner machinga complex kuendea ilala moja kwa moja mkono wako wa kushoto utakuta kuna godown ya baiskeli kama kighorofa hivi wanauza hapo napo ni 105,000.
 
Ahsante sana

Back
Top Bottom