Mdhamini wa kuwezesha kuanzisha kiwanda kidogo cha bites

Tumeanza Na clips, tambi, Na vikokoto. Kutokana Na kiwango chetu cha fedha kidogo sana lakin malengo yetu n kuzalisha bites zoteView attachment 1203733View attachment 1203737
Hongereni sana kwa kutekeleza wazo lenu, ushauri wangu msifokasi zaidi kutafuta mzamini. Kwasababu mnamtaji kidogo wekeni malengo ya kuukuza hivyo hivyo kibiiishi! Kutokana na juhudi zenu wafadhili watajitokeza wenyewe
 
Pamoja sana ahsante kwa ushauri
Hongereni sana kwa kutekeleza wazo lenu, ushauri wangu msifokasi zaidi kutafuta mzamini. Kwasababu mnamtaji kidogo wekeni malengo ya kuukuza hivyo hivyo kibiiishi! Kutokana na juhudi zenu wafadhili watajitokeza wenyewe
 
Kwa sasa hatuna uwezo wa kuajiri maana production bado n ndogo ndiyo maana tunatafuta mdhamini
ila kama mmeweza kuanza na kuuza mdhamini wa nini ? Hizo pesa mnazotaka kwa mdhamini sio nyingi bora mtafute others sources of finance.., hapo mdhamini atakula tu jasho lenu, sioni kama hizo 2m zitakuza ufanisi (ukizingatia marketing ndio kazi kubwa zaidi ambayo mmeshaifanya) ingekuwa mnataka kufungua bakery kubwa ya pesa nyingi zaidi hapo sawa...

Jaribu Saccos; ndugu au hata benki kama tayari mna business inayo-run....
 
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Mkuu serikali hamjalipa gharama zozote hususan TFDA, TBS, KUSAJILI KAMPUNI N.K?

Ufafanuzi hapa tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…