Mdingi wangu alikua kauzu sana…ila alisaidia kunijenga, soma visa vyake kadhaa

Bila shaka atakuwa mkurya possibly wa kanda maalum!!
 
Nachokumbuka kuhusu mzee ni kunikataza kutongoza wadada nikiwa kidato cha sita asijue nilimlamba beki tatu nikiwa chekechea 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…