Mdogo Mdogo Hadi kwa Binamu.....🍷

Mdogo Mdogo Hadi kwa Binamu.....🍷

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Basi bwana,

Nimetoka zangu bustanini kung'olea majani na kumwagilia mboogambooga. Naingia ndani nakuta missed call 8 kuangalia ni binamu.....

Nampigia binamu vipii, anaitika binamu njoo nimezidiwa....

Wangu wangu hadi kwa binamu, nafika ananikaribisha mezani....

20220211_203952.jpg

Ngumu sana kukwepa mitego ya binamu.....😬.

Naomba Mungu pakuche salama nirejee kwangu 🙄.

Kawaida ni ileile, Haba ni la Baba.

Kasinde.
 
View attachment 2116512

babe, hiyo four cousins bei gani ? naona ina utofauti na niliyozoea kuiona
 
Basi bwana,

Nimetoka zangu bustanini kung'olea majani na kumwagilia mboogambooga. Naingia ndani nakuta missed call 8 kuangalia ni binamu.....

Nampigia binamu vipii, anaitika binamu njoo nimezidiwa....

Wangu wangu hadi kwa binamu, nafika ananikaribisha mezani....

View attachment 2116512

Ngumu sana kukwepa mitego ya binamu.....[emoji51].

Naomba Mungu pakuche salama nirejee kwangu [emoji849].

Kawaida ni ileile, Haba ni la Baba.

Kasinde.
Ngumu sana kukwepa mitego ya binamu.....[emoji51].[emoji23]
Screenshot_20220212-035432.jpg

Nampigia binamu vipii, anaitika binamu njoo nimezidiwa....
 
Ni wengi hawataelewa ila hapo naona unaipigia promo hyo whine ambayo ndo inatrend kwa ss...tutaendelea tu kukusanya maduhuli

Whine hapahapa Tanzania....!!!?

Mi sijaiona...! Ngoja wengine waseme.
 
Yaani, nimepambana nayo usiku kucha.

Nashukuru kumekucha salama, nimerejea kwangu salama 🙂
Mbona mbiombio yaani saa kumi na mbili ushafika kwako?huyo binamu kakufukuza?
 
Hajanifukuza nimemuaga japo alitaka niendelee kukaa kwake...

Usingizi umenizidia, hapa najiandaa kulala.

Maana sijalala usiku mzima, niliogopa kumchekea nyani..😄 asubuhi hii ningejikuta nakula mabua.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aisee binamu Hana huruma huyo..umekesha anataka ushinde Tena?
 
Back
Top Bottom