Mdogo mdogo vs Salome(Which true traditional song for diamond platnumz)

Duh wallah umri ni kitu kibaya sana,sikua najua kuna wimbo wa Diamond unaitwa Salome mpwa kama vipi ushushe hapa jukwaani tuusikilize.
 
Zote nzuri
Salome nyimbo nzuri pia iko kimaadhi ya kinyumbani yaani vijigoma na kutukumbushia saida karoli utamu kunogaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…