MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,240
You write nonsense, you know nothing about that industry.Mganda anashuti video South Afrika, anatangaza uzuri wa South Afrika au udanganye kwamba hayo ni maisha yako ya Uganda ???? acha wafukuzwe
TV zetu ziko dominated na ma content ya South Afrika mpaka matangazo ya biashara kwenye ving'amuzi vinatutangazia bima za magari za South Afrika... kwa sababu ya Waafrika wanaowatukuza wa South... KICK THEIR ASSES OUT OF YOUR COUNTRY!