Mdogo Wake Beyonce Atia Aibu Katika Harusi Yake

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
[h=3]Mdogo Wake Beyonce Atia Aibu Katika Harusi Yake[/h]

Solange Na Mme Wake Alan Ferguson





Harusi Ya Aina Yake Ambayo Ilikuwa Ni Ya Kawaida Sana Bibi Harusi Hakutaka Mambo Makubwa Mambo Yalifanyika Katika Jumba La Zamani .

Maharusi Walifunga Ndoa Humo Na Baada Ya Hapo Hawakupanda Gari La Kifahari Kama Wengine Wanavyofanya Waliamua Kupanda Baiskeli Ambapo Kila Mmoja Aliendesha Yake.
























Mia

Chanzo:timesfm
 
wapi katia aibu hapo sasa, maanake nilikuwa nasubiri picha ziishe nione sasa pale alipotia aibu, kwani nimepaona??? alieona alipotia aibu huyu 100 problem wa J z anioneshe.
 
ndio maana lulu hataki masharobaro kutwa nzima kwenye masaloon kufanya scrub na kulamba lips....jamaa wa kawaida sana lakini kampata Solange Knowles
 
Mi naona hii imekaa poa sana kuliko ile ya kufanya sherehe kubwa afu kesho mnaanza tafuta mkate kwa mbinde
 
mtoa mada mwambie muhudumu akuongeze mzinga mwengine ila safar hii akupe na sprite ya kuchanganyia
 
Wametia aibu kivipi?
Wamefanya harusi wanayoifurahia wao.

Nakumbuka video ya huyu dada akimshambulia jay.z
 
Ila huyu Solange HAMNA KITU KABISA....MA.TA.KO HANA KABISA.....flaaat screeen sana...mmmhh!!!! cjui uzuri wake nn...mwanamke ma.ta.kooo jamani niwe open...mwanamke mkia bana, huyu hata nikimwona uume hausimami, mifupa tu...hapo hamna kitu...!!
 
Haki ya mungu nitaiiga hii we ngoja uone na mtoa mada ni pm nikupe kadi
 
Hiyo Shep hainipi Msisimko Hata Kidogo
Huyu Jamaa Sijui Kafata Nini Hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…