Solomon pengo ambaye ni mdogo wake cardinal pengo anatoka sumbawanga jimbo la kwela, aligombea ubunge kwa ticket ya CCM mwaka 2010 na 2015. Katangaza kujiunga na TLP na atagombea ubunge kupitia chama hicho
Allute David Emanuel aligombea ubunge manyoni kwa ticket ya Chadema na Kupata kura 38% ya kura zote zilizopigwa kwenye uchaguzi 2015 kwenye jimbo Hilo, amehamia TLP na ametangaza kugombea ubunge kwa ticket ya TLP
Morisson Thomas mpongolo kada maarufu naye katia nia kugombea ubunge kwa ticket ya TLP jimbo la singida mashariki, jimbo la Tundu Lissu
Wote wametambulishwa kama wanachama wapya, Makao Makuu ya TLP magomeni leo