germve Senior Member Joined Jul 22, 2017 Posts 126 Reaction score 131 Aug 3, 2017 #1 Hivi ukiwaangalia hawa bongo movie wote Wa kike na Wa kiume huwa mnawaelewa kweli Kwa maana ya IQ ...elimu...mtazamo Wa maisha...lifestyle nk Ukisikia Mdogo wako Wa kike au Wa kiume anataka kujiunga na bongo movie uta react vipi germve himself
Hivi ukiwaangalia hawa bongo movie wote Wa kike na Wa kiume huwa mnawaelewa kweli Kwa maana ya IQ ...elimu...mtazamo Wa maisha...lifestyle nk Ukisikia Mdogo wako Wa kike au Wa kiume anataka kujiunga na bongo movie uta react vipi germve himself
Babu Msomali JF-Expert Member Joined Mar 4, 2016 Posts 265 Reaction score 785 Aug 3, 2017 #2 Subiri wenye wadogo zao watakuja kujibu..
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 3,781 Reaction score 12,091 Aug 3, 2017 #3 Ntatoa tozo kama 80 hivi kwenye msaada naompa.Alafu ntamwambia kichwa kama tozo wewe.
mwambadog JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,446 Aug 3, 2017 #4 namwambia ataishia pabaya