hospita anadai alienda akapewa vidonge but bado hali inajirudia mkuu
Upo mkoa gani? Nenda naye hospitali kwanza akafanyiwe culturing ya mwili mzima, usirud jf mpaka mmetoka hospital
mwenzako anamuomba mzizi mkavu amsaidie wewe unamwambia aende hospital