Mdogo wangu ana miezi minne, amepimwa uzito anaambiwa uzito ni mkubwa kuliko umri wak

Mdogo wangu ana miezi minne, amepimwa uzito anaambiwa uzito ni mkubwa kuliko umri wak

Omugisha

Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
43
Reaction score
29
Habari za jioni, naomba ushauri nina dogo wangu ana miezi minne amepimwa uzito leo anaambiwa uzito ni mkubwa kuliko umri wake na anatumia maziwa ya mama yake tu, plz kwa anaejua tufanyeje kushusha uzito wake au namna ya kufanya usipande kwa kasi? Msaada tafadhali
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Ngoja waje
 
japo sijajua huo uzito umezidi kwa kaisi gani na alizaliwa na kilo ngapi, na kama ungekuwa na hatari kwake basi huko clinic aliyempeleka angeshauriwa cha kufanya. Ila kama si hivyo basi msihangaike na kuupunguza, aendelee kunyonya kama kawaida.
 
Hiyo sio kawaida kama maziwa ni ya mama tu.Angekuwa ameshaanza kula vyakula vya wakubwa ningekushauri vinginevyo ila kwa hali hiyo nenda clinic au muone dr wa watoto atakuambia cha kufanya mtoto asije patwa magonjwa ya moyo utotoni
 
Back
Top Bottom